Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AWASILI IVORY COAST - AFRICA INVESTMENT FORUM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Mipango na Maendeleo wa Ivory Coast Mheshimiwa Kaba Nialé mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Félix Houphouët Boigny Abidjan nchini Ivory Coast leo tarehe 31 Oktoba 2022. (Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Nigeria ambaye anaiwakilisha pia Tanzania nchini Ivory Coast Dkt.Benson Bana).

Post a Comment

0 Comments