Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA KITUO CHA TEHAMA BWEFUM UNGUJA WILAYA YA MAGHARIBI "B"

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kukifungua Kituo cha Tehama Bwefum Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-10-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania. Mhe. Nape Mnauye na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Tehama Bwefum Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-10-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum kwa pamoja na Mawaziri wa SMZ na SMT (kulia kwa Rais) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania. Mhe. Nape Mnauye na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohamed, baada ya ufunguzi na kukabidhi Kituo cha TEHAMA Bwefum Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-10-2022.(Picha na Ikulu)

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote Tanzania Bi. Joustine Tmashiba, wakati akitembelea Kituo cha Tehama baada ya kukifungua leo 26-10-2022, katika eneo la Bwefum Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments