Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA DKT. WILLIAM SAMOEI RUTO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Zawadi ya Picha ya kumbukumbu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati walipokuwa wanazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku 2 Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments