Ticker

6/recent/ticker-posts

RÇ MGUMBA ATEMBELEA WAVUVI KATIKA MWALO WA KASERA.

Rc Mgumba akikata maelezo kuhusu samaki aina ya dagaa nyama.
Rc Mgumba akiwa na mchuuzi wa samaki katika mwalo huo.

Rc Mgumba akinunua samaki kwa mchuuzi.

Wavuvi na wachuuzi wa samaki wakimsikiliza Rc Mgumba.


**************************

Na Hamida Kamchalla, TANGA.

MKUU wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba ametembelea katika mwalo wa Kasera jijini Tanga na kuzungumza na wavuvi katika eneo hilo kwa kusikiliza Changamoto walizonazo.

Wavuvi hao waliotoa kilio chao na kusema kuna ubovu wa barabara lakini pia hakuna usalama wa kutosha ambapo waliiomba serikali kusaidia kutatua changamoto zao kwakuwa ziko nje ya uwezo wao.

Aidha Mgumba aliwaahidi kufuatilia na kutekeleza kuondoka changamoyo zao huku akiwataka waunde vikundi ili wapatiwe mikopo ya wavuvi na kwamba serikali ina mpango wa kununua boti kubwa kwa ajili ya wavuvi hao kuwasaidia kufika mbali baharini katika uvuvi wao.

Post a Comment

0 Comments