Ticker

6/recent/ticker-posts

MAHAFALI YA 52 CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,TAASISI YA SAYANSI YA BAHARI BUYU ZANZIBAR.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete(katikati) akimtunuku Ndg.Mbiru Moses,Digirii ya Udaktari wa falsafa katika sayansi ya za Bahari (Doctor of philosopony in Marine Sciences) ya Chuo Kikuu cha Dar es salam katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,yaliyofanyika leo viwanja vya Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akiwa mgeni rasmi wa mahfali hayo.[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Wahitimu wa Digirii za Uzamivu,Umahiri na Awali wakila kiapo cha mara baada ya kutunu kiwa shahada zao leo katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,yaliyofanyika leo viwanja vya Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Baadhi ya wanafamilia wa Wahitimu wa Digirii za Uzamivu,Umahiri na Awali,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya kuwatunuku Shahada wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Wahitimu wa Digirii za Uzamivu,Umahiri na Awali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya kuwatunuku Shahada wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.[Picha na Ikulu].14/11/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akimkabidhi cheti Ndg.Mbiru Moses, mara baada ya kutunukiwa Digirii ya Udaktari wa falsafa katika sayansi ya za Bahari (Doctor of philosopony in Marine Sciences) ya Chuo Kikuu cha Dar es salam katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.,[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja wakiwa katika maandamano ya duru ya nne ya mahafali ya 52,yaliyofanyika leo,katika viwanja vya Chuo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].14/11/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipohudhuria katika wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,akiwa mgeni rasmi katka duru ya nne ya mahafali ya 52 Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni Miongoni mwa waalikwa ktika sherehe ya mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,yaliyofanyika leo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].14/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mkuu wa Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,pamoja na Viongozi wa Chuo hicho katika maandamano ya duru ya nne ya mahafali ya 52,yaliyofanyika leo,katika viwanja vya Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. [Picha na Ikulu].14/11/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete,akiwa mgeni rasmi katika duru ya nne ya mahafali ya 52 Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Magharibi "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu].14/11/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akimkabidhi cheti Ndg.Kulwa Mtaki,mara baada ya kutunukiwa Digirii ya Udaktari wa falsafa katika sayansi ya za Bahari (Doctor of philosopony in Marine Sciences) ya Chuo Kikuu cha Dar es salam katika sherehe za mahafali ya 52,duru nya nne ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari,Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.,[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya kuwatunuku Shahada wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Taasisi ya Sayansi ya Bahari hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo Buyu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.[Picha na Ikulu].14/11/2022.

Post a Comment

0 Comments