Ticker

6/recent/ticker-posts

MKUTANO WA KIMATAIFA UNAOHUSU UTEKELEZAJI MASUALA YA AFYA YA UZAZI NA WATOTO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwana wa Malkia wa Nchini Denmak Princess Mary,alipofika katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo kabla ya kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Maendeleo la Kimataifa linalohuka na Idadi ya Watu na Maendeleo ya Afya ya Uzazi na Jinsia (UNFPA) Dr.Natalia Kanem (kushoto) wakati alipowasili katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo,kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Maendeleo la Kimataifa linalohuka na Idadi ya Watu na Maendeleo ya Afya ya Uzazi na Jinsia (UNFPA) Dr.Natalia Kanem (kushoto)wakati alipokutana na Viongozi kabla ya kufungua kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofanya mazungumzo na kupata maelezo kutoka kwa Viongozi kabla ya kufungua kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na na Mwana wa Malkia wa Nchini Denmak Princess Mary,alipofika katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo kabla ya kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi .[Picha na Ikulu] 10/11/2022. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) wakifurahia jambo leo kabla ya kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja (kushoto) Mwana wa Malkia wa Nchini Denmak Princess Mary.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofuatana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) kabla ya kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi leo katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.

Post a Comment

0 Comments