Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MWINYI AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA BOT UKIONGOZWA NA GAVANA WA BOT PROF. FLORENS LUOGA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 7-11-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa BOT,ukiongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 7-11-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-11-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments