Ticker

6/recent/ticker-posts

DKT. TAX ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATILA KIFO CHA RAIS MSTAAFU WA CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa China leo Jijini Dar es Salaam, kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin kilichotokea Novemba 30, 2022

Post a Comment

0 Comments