


Wahitimu waliotunukiwa Stashahada ya teknolojia ya Habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika sherehe za mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Cheti cha Sayansi ya Kompyuta 2021/2022 pamoja na Fedha Laki mbili Hisham Mdungi Makame katika sherehe za mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Viongozi katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA wakati wa maandano ya sherehe za mahfali ya kumi na nane 18 yaliyofanyika leo kampasi ya chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022. 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA wakiingia katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu katika sherehe za mahfali ya kumi na nane (18) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022. 

Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika sherehe za mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.
0 Comments