Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT..HUSSEIN MWINYI AFUNGUA HOTELI YA KITALII YA EMARALAD RESORT AND SPA P-MATEMWE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto) Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika jana 28-1-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.(Picha na Ikulu)


BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments