Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ASHIRIKI KWENYE MAHAFALI YA 22 YA ABDULRAHMAN AL-SUMAIT ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora kwa mwaka 2021/2022 wa “Master of Arts in Shariah and Islamic Jurisprudence” Nassor Tajo, wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar,yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023.(Picha na Ikulu) WAHITIMU wa Mahafali ya 22 ya Chuo cha Abdulrahman Al-Sumait University Zanzibar wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Mahafali vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, kwa ajili ya kutunukiwa Shahada leo 21-1-2023.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alipowasili katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-01-2023 na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakielekea katika viwanja vya Mahafali Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Makamo Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa, wakiwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023, Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)

MKUU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wahitimu wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika viwanja vya chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Wazee wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakihudhuria hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yalioyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments