Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI VIWANJA VYA MICHEZO MATUMBAKU.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (wa tatu kushoto) wakati alipoangalia michoro ya Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar leo , katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo viwanja hivyo vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Sada Mkuya Salum (wa pili kulia) wakisimama Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.

Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.

Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Saadala.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.

Post a Comment

0 Comments