Ticker

6/recent/ticker-posts

CCM YAHITIMISHA ZIARA YA SIKU 9 MKOANI MOROGORO KWA KISHINDO CHA MKUTANO WA HADHARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo akizungumza na Wanachama na Wakereketwa wa CCM Pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Morogoro Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja Vya Kiwanja Cha Ndege Mkoani Morogoro akihitimisha ziara ya kukagua Uhai wa Chama Katika mkoa huo. (Picha Zote na Fahadi Siraji CCM)
Katibu Wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema akizungumza na Wanachama na Wakereketwa wa CCM na Wananchi wa Mkoa wa Morogoro Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja Vya Kiwanja Cha Ndege Mkoni Morogoro akihitimisha ziara ya kukagua Uhai wa Chama Katika mkoa huo.

Viongozi wakiwa katika Jukwaa la Meza KUU

Wananchi, Wanachama wa CCM wakishangilia Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja Vya Kiwanja Cha Ndege Mkoani Morogoro akihitimisha ziara ya kukagua Uhai wa Chama Katika mkoa huo.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo akisikiliza baadhi ya Wazungumzaji Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja Vya Kiwanja Cha Ndege Mkoani Morogoro akihitimisha ziara ya kukagua Uhai wa Chama Katika mkoa huo.

Msanii wa Singeli Ndg Barobaro akitumbuiza
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo akipokea tuzo ya heshima kwa niaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Samia Suluhu Hassan kwaniaba ya Wana Morogoro iliyokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ndg. Fatma Mwasa Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja Vya Kiwanja Cha Ndege Mkoani Morogoro akihitimisha ziara ya kukagua Uhai wa Chama Katika mkoa huo. (Picha Zote na Fahadi Siraji CCM)

Post a Comment

0 Comments