Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI KUTANA NA KUZUNGUMZA NA MSANII WA KIZAZI KIPYA BONGO FLEVA MBOSO IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwa katika mazungumzo na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa fulana ikiwa na jina lake na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu) MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akikabidhiwa fulana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa fulana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiagana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments