Ticker

6/recent/ticker-posts

MAADHIMISHO YA SIKU YA BUNGE LA AFRIKA 'PAP DAY' YAFANYIKA, MKUTANO WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAFUNGWA

Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Chifu Fortune Charumbira akizungumza leo  Ijumaa Machi 17 2023 katika ukumbi wa Bunge la Afrika Midrand, Afrika Kusini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika 'Pan African Parliament - PAP' inayojulikana kama "PAP Day" na Sherehe ya kufunga wa Mkutano wa Kamati za Kudumu na vyombo vingine vya Bunge la Afrika vilivyoanza Machi 6, 2023. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog 
Burudani ya ngoma za asili ikiendelea wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika 'Pan African Parliament - PAP' inayojulikana kama "PAP Day" na Sherehe ya kufunga wa Mkutano wa Kamati za Kudumu na vyombo vingine vya Bunge la Afrika vilivyoanza Machi 6, 2023. 

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Afrika Kusini
Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika 'Pan African Parliament - PAP' inayojulikana kama "PAP Day" yamefanyika leo Ijumaa Machi 17 2023 katika ukumbi wa Bunge la Afrika Midrand, Afrika kusini yakiongozwa na Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Chifu Fortune Charumbira kutoka nchi ya Zimbabwe.

Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika likitimiza miaka 19 tangu kuanzishwa kwake yamehudhuriwa na Wabunge wa Bunge la Afrika nawageni mashuhuri yameambatana na sherehe ya kufunga wa Mkutano wa Kamati za Kudumu na vyombo vingine vya Bunge la Afrika vilivyoanza Machi 6, 2023 hadi Machi 17,2023.

Siku ya Bunge la Afrika ilizinduliwa rasmi mnamo 2021 ili kuadhimisha kuzinduliwa kwa Bunge la kwanza tarehe 18 Machi 2004 mjini Addis Ababa, Ethiopia likikusudiwa kuwa jukwaa la watu kutoka mataifa yote ya Afrika kushiriki katika majadiliano na kufanya maamuzi juu ya matatizo na changamoto zinazolikabili bara la Afrika.

Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika hutumika kama ukumbusho kwa watoa maamuzi kote barani Afrika kutimiza ahadi zao kwa PAP kwa kuridhia Itifaki yake, miaka 17 baada ya kuidhinisha kuanzishwa. Nchi 14 wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) hadi sasa zimeridhia Itifaki ya Malabo (Malabo Protocol).

Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika pia yanalenga kuelimisha wananchi kuhusu Bunge la Afrika.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Chifu Fortune Charumbira akizungumza leo  Ijumaa Machi 17 2023 katika ukumbi wa Bunge la Afrika Midrand, Afrika Kusini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika 'Pan African Parliament - PAP' inayojulikana kama "PAP Day" na Sherehe ya kufunga wa Mkutano wa Kamati za Kudumu na vyombo vingine vya Bunge la Afrika vilivyoanza Machi 6, 2023. 

Profesa Mathole Motshega akizungumza leo  Ijumaa Machi 17 2023 katika ukumbi wa Bunge la Afrika Midrand, Afrika Kusini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika 'Pan African Parliament - PAP' inayojulikana kama "PAP Day" 
Wadau wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Bunge la Afrika 'Pan African Parliament - PAP' inayojulikana kama "PAP Day" na Sherehe ya kufunga wa Mkutano wa Kamati za Kudumu na vyombo vingine vya Bunge la Afrika vilivyoanza Machi 6, 2023. 

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Afrika Kusini

Post a Comment

0 Comments