Ticker

6/recent/ticker-posts

WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Watumishi wanawake wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia Chachu katika kuleta Usawa wa Kijinsia”yamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.


Baadhi ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, wakifurahia wakati wa maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.

Post a Comment

0 Comments