Ticker

6/recent/ticker-posts

BASHIRI UCL UPATE ODDS KUBWA MERIDIANBET: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 yabure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino yamtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/4TONkF

Usiku wa deni haukawii kukucha, ni usiku wa kutambua mbivuna mbichi Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi za raundi ya pili hatua ya robo fainali, timu gani zitatinga hatua ya nusu fainali? Odds kubwa Meridianbet mechi zote ni Chelsea vs Real Madrid, Napoli vs AC Milan, Inter Milan vs Benfica, Bayern Munich vs Man City.

Odds kubwa za Jumanne.

Meridianbet wameamua kuinogesha siku hii, wakatiambapo wengi wanasubiri kuona kama vijana wa Frank Lampard Chelsea wataweza kuwazuia vijana wa Ancelotti kufuzu nusu fainali, mchezo wa kwanza The Blues alikufa bao 2-0 huko Santiago Bernabeu bado ana nafasiya kujiuliza nyumbani kwake. 

Napoli hawatakuwa na jambo la kupoteza Zaidi ya kusakaushindi wa Zaidi ya goli moja, ikumbukwe mechi yakwanza alifungwa bao 1-0 ugenini, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Napoli, huku Milan akipewa Odds kubwa ya 4.60 ashinde kwenye dimba la Stadio Deigo Armando Maradona Je ataweza?

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino yamtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapakuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Odds kubwa za Jumatano.


Dimba la Ethiad Man City walimkanda Bayern Munich mabao 3-0, leo amebadilisha uwanja lakini wachezaji ni11 ni dimba la Allianz Arena. Odds kubwa za ushindi niBayern 2.69 vs 2.45 Man City, sare 3.57. Meridianbet wanakwambia CHAGUA TUKUPE iwe ni odds kubwawatakupa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubasharaunaweza, michezo ya sloti kama Aviator, poker naRoulette yote unaipata kubwa Zaidi ukiona jamvi lakolinataka kuchanika unaweza kucash out/Kuturbo.

Inter Milan ana faida ya ushindi wa mabao 2-0 ugeninidhidi ya Benfica, na sasa anarudi kwenye dimba la Giuseppe Meazza Meridianbet wanampa nafasi kubwa yaushindi kwa odds kubwa 2.20 vs 3.19 ya Benfica chaguoni lako unaenda nan ani ili mkeka wako uwe salama kwadakika 90.

Post a Comment

0 Comments