Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YAZINEEMESHA TIMU MBILI ZA WANAWAKE


Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo yakasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitialink hii https://a.meridianbet.co.tz/c/XjNsx7

Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA na za kibabe leo imeweza kutoa vifaa vya michezoambavyo ni jezi na mipira kwa timu mbili za wanawakeikiwemo Mbagala Queens pamoja na Allan Queens ya Dodoma ambapo vifaa hivyo vitawasaidia katika shughuli zao zakimichezo kila siku.

Zoezi zima limeandaliwa na kuratibiwa na wababe hao wamichezo ya kubashiri ya ubashiri Tanzania Meridianbet baada yakuona umuhimu wa kuwapa nguvu na kuwekeza kwa wanawakena kuinua tasnia ya michezo kwa ujumla, Meridianbet imeonakuna haja ya kuwaunga mkono wanawake na wasichana kwenyesekta hii ya michezo na haitaishia hapa.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo yasloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidikuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezomingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Slotina mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpiraunaweza kuucheza.

Baada ya kutoa vifaa hivyo,mkuu wa kitengo cha masoko namwasiliano wa Meridianbet bwana Matina Nkurlu amesema “ Huu ni mwanzo tu tumeona tuanze na timu hizi mbili, MbagalaQueens na Allan Queens ya Dodoma kwakua hawa walitufikiasiku chache zilizopita kwa barua rasmi, na kwakua wanajiandaana mashindano ya ligi ya daraja la kwanza , tukaona tuwatafutena kuwatia nguvu.”

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa ndani ya Meridianbetwanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwaniwao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWAmpaka machaguo zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenyemichezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Vile vile baada ya kupokea vifaa hivyo kiongozi wa Allan Queen bi Amina Bakari amesema “Hili ni jambo ambalomakampuni mengi yanapaswa kuiga na tunaishukuru sanaMeridianbet kwa moyo huu wa kujitolea na zaidi kuonaumuhimu wa kusaidia hizi timu za wanawake, Sisi kamaALLAN QUEENS , tunawaahidi tutafanya vizuri kwenyemashindao yanayofuata

Post a Comment

0 Comments