Ticker

6/recent/ticker-posts

KMC KUVUNA LAKI TANO KWA KILA GOLI KUTOKA MERIDIANBET


Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo yakasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitialink hii https://a.meridianbet.co.tz/c/XjNsx7

Wataalamu wa michezo ya kubahatisha na wadhamini wakuu waklabu ya KMC inayoshiriki ligi kuu ya NBC MeridianbetTanzania wameahidi kutoa shilingi laki tano kwa kila goliambalo klabu hiyo itapata katika michezo ya ligi kuu ya NBC iliyobakia. Baada ya Meridianbet kuahidi kutoa kiasi hicho cha pesa kwa klabu hiyo lengo lao ni kurudisha kwenye jamii yakekama ilivyo kawaida yao.

Baada ya klabu KMC kupata goli katika michezo yake ambapogoli moja ni shilingi laki tano hivo watakua wanatumia kiasihicho cha pesa kurudisha kwenye jamii, Jukumu la wapi kiasihicho cha pesa kitaelekea kusaidia jamii litabakia kwa klabu yaKMC ambao watapokea kiasi hicho kutoka kwa Meridianbet.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo yasloti na kasino ya mtandaoni.

Utaratibu wa Meridianbet umekua ni kuhakikisha unarudishakwenye jamii yake kwa kile kidogo ambacho wanakuawanakipata moja kwa moja au kwa kupitia washirika wake nakipindi hichi wameamua kuitumia klabu ya KMC kuhakikishainarudisha kwenye jamii, KMC watajipatia kiasi cha shilingikwenye kila goli ambalo watafunga kwenye michezo ya ligi kuuya NBC na kweza kutumia kiasi hicho kurudisha kwenye jamiiyao. 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenyemichezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Aidha mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka Meridianbet bwana Matina Nkurlu aliongea na wachezaji wa klabu ya KMC nakuwapa moyo kuelekea michezo yao inayofata mbeleni, Vilevileakiwataka kupambana kuhakikisha klabu hiyo inabaki kwenyeligi kuu ya NBC msimu unaofuata kwani aliwaeleza wachezajihao ana imani kubwa wana kila sababu ya kufanya vizuri katikamichezo iliyobaki.

Post a Comment

0 Comments