Ticker

6/recent/ticker-posts

KULA SIKUKUU UKISUBIRI KUTIKI MKEKA WAKO WENYE ODDS KUBWA


Sub heading: Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/4TONkF
Moja kati ya Wikiendi nzuri kabisa mwaka huu 2023, baraka na bahati ziwe sehemu ya harakati zako za kila siku, ukiachana na Sikukuu ya Pasaka nagoseha siku yako kwa kubashiri mechi za Wikiendi hii ambapo Meridianbet kuna ongezeko la odds kwenye mechi zitakazo chezwa Jumamosi na Jumapili.

Wakati ukijiandaa kusherehekea Sikukuu ya Pasaka hakikisha umeandaa na tiketi yako yenye odds kubwa na machaguo kibao kutoka Meridianbet, kubwa Zaidi ni kwamba Ten Hag atakuwa na maswali ya kujiuliza Zaidi dhidi ya Everton baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle. Kasino ya mtandaoni Meridianbet inalipa.

Nao Chelsea baada ya kumtia Graham Potter na sasa timu ipo chini ya Frank Lampard, Je unadhani wakali hao wa London wataweza kuonesha makucha yao kwa Wolves? Kwa odds kubwa ya ushindi kila timu, 2.35 vs 2.99 upewe nini tena kutoka Meridianbet. Man City atakuwa ugenini dhidi ya Soton, Brentford vs Newcastle. Bonyeza hapa kuona odds kubwa na kubashiri.

Jumapili ya Pasaka inogeshe kwa machaguo mengi na odds kubwa za Meridianbet, ni Liverpool dhidi ya Arsenal, odds kubwa za ushindi ni 2.74 vs 2.39. Unadhani Klopp atapoteza tena au Arsenal ataendeleza moto wake.

Nice atakipiga na PSG ambayo imekua inasuasua siku za hivi karibuni. Kule Serie A ni Lazio vs Juventus, Torino vs Roma. Tembelea duka la ubashiri lililo karibu yako utandike jamvi lako.

Mabingwa watetezi wa La Liga Real Madrid atajiuliza kwa mara nyingine tena dhidi ya Villarreal huku Espanyol vs Athletic Club na mechi nyingine nzuri ya hela ni Osasuna vs Elche. Ukiachana na ubashiri wa soka kuna kasino ya mtandaoni inakupa hela papo hapo.

Post a Comment

0 Comments