Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana (katikati) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments