Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YATAMBULISHA SLOTI YA VEDI VIDI VICI
***********

Sub-Heading: Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajiliMeridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti yakasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/4TONkF

Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezeaRoma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici!

Warumi ni moja ya dola iliyosambaa maeneo mengi duniani, historia ya Roman Empire unapoizungumiza ni lazima ugusie mambo mengi lakini moja ya kitu kikubwa ni utawala wa viongozi wao ikiwemo Julius Caesar aliyefanya makubwa na yakustaajabisha. 

Hadithi hii imehamia kwenye wakali wa kasino ya mtandaoni Meridianbet ambapo wameshirikiana na Expanse Studioskuandaa Sloti ya Vedi Vidi Vici yenye kusimulia mambo ya kale huku unapiga mtonyo.

Ushawishi wa hadithi za Kirumi pia unatambuliwa kwa jina la sloti, lakini mcehzo huu una kitu gani kipya?

Sloti ya Veni Vidi Vici ina Kolamu ambayo inakupa taji la mvinyo, ngao na upanga, mikokoteni, askari wachache, wakati alama ya msingi ya mchezo ni Caesar mwenyewe.

Kadi mbili za porini (Wild) zinakuongoza kwenye mzunguko wa bonasi kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, wakati kadi tatu au zaidi za porini (Wild) zinaamsha Bonasi ya Sloti ya Veni Vidi Vidi.

Kuna msemo mmoja mkubwa wa Gaius Julius Caesar husema’kete imetupwa’ na katika kasino ya mtandaoni mchezo wa Veni Vidi Vici, Caesar huzungusha kete! Aina hii ya bonasi inakuja katika ngazi tatu, na ya tatu inaweza kukuletea ushindi mpaka mara 1,000 zaidi!

Sloti hii ina bonasi ya ubashiri ambayo inaweza kuongeza kila ushindi mara mbili, pamoja na jackpots tatu zinazoendelea: Mini, Midi na Mega.

Sifa kuu ya sloti hii ni chaguo la BONASI NUNUA (Bonus Buy option), ambalo unaweza kuwezesha Bonasi ya Veni Vidi Vici, na RTP nzuri ya 96.28%!

Dhibiti Ufalme/ Kasri ya Roma na upate mafanikio makubwa!

Post a Comment

0 Comments