Ticker

6/recent/ticker-posts

SHINDANO LA TSH MIL 650 LIMEANZA MERIDIANBETAnayekupa mchongo wa Maisha muheshimu sana kwasababu ana asilimia fulani za Maisha yako. Meridianbet Kasino ya mtandaoni inakupa mchongo wa kutusuakimaisha, ni shindano jipya la Drops & Wins linalokuja naMamilioni kila siku.

Promosheni ya kasino ya mtandaoni inakuja na kiasi cha TshMilioni 650,000,000/= ambapo pesa hizi zitagawanywa kwaawamu 12 kwa wiki 4. Haya yote unayapata kwenye shindanojipya la Drops & Wins yenye sloti kibao kama vile Juice Fruit, Rise of Giza, wild walker, Christmas Carol megaway.

Mashindano haya yatadumu kwa mwaka mzima yaani siku 336 ambapo Sloti ya Drops & Wins imeanza tangu Aprili 5 naitadumu mpaka Machi 2024, jumla ya kiasi cha Tsh Milioni90,000,000/= kutolewa bila mpamgilio kila siku.


Jisajili Shindano la Awamu ya Kwanza


Awamu ya kwanza ya shindano hili la Drops & Wins itakuwakwa wiki 4, ambapo kasino ya mtandaoni ya Meridianbet itakupatia mkwanja muda wote huo kuanzia Aprili 5 mpaka Mei 3 2023 utakapokuwa unacheza michezo ya sloti ya kasino yamtandaoni.


Vigezo vya kuorodheshwa nafasi za juu.


Ushindi mkubwa na wa kipekee kulinganisha na dau kubwa. Kiwango kikubwa cha ushindi wa kipekee kulinganisha na dau, juu ya mstari wa chini.


Jumla ya zawadi katika awamu zote ni TZS 650,000,000, zikigawanywa mara 12,000 kwenye pesa taslimu na mizungukoya bure.


Drops & Wins ni shindano la Kasino ya mtandaoni nalitapatikana kwenye maeneo yote ya Meridian na Meridianbet. Jiunge sasa kupitia www.meridianbet.co.tz ukausake utajiri.

Post a Comment

0 Comments