Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU FUNGUA MSIKITI WA ‘MASJID ALI BIN SAIF’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua msikiti wa ‘Masjid Ali Bin Saif’ uliojengwa na familia ya Sheikh Seif Ali Seif, Vingunguti jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2023. Sheikh Nassor na Sheikh Seif wamejenga msikiti huo wenye hadhi kubwa kwa niaba ya Baba yao ambaye ameshatangulia mbele ya haki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua msikiti wa ‘Masjid Ali Bin Saif’ kabla ya kuuzindua, msikiti ambao umejengwa na familia ya Sheikh Seif Ali Seif, maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2023. Sheikh Nassor na Sheikh Seif wamejenga msikiti huo wenye hadhi kubwa kwa niaba ya Baba yao ambaye ameshatangulia mbele ya haki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kuzindua msikiti wa ‘Masjid Ali Bin Saif’ uliojengwa na familia ya Sheikh Seif Ali Seif, Vingunguti jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2023. Sheikh Nassor na Sheikh Seif wamejenga msikiti huo wenye hadhi kubwa kwa niaba ya Baba yao ambaye ameshatangulia mbele ya haki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments