Ticker

6/recent/ticker-posts

CHEZA NA MERIDIANBET WIKIENDI HII, MECHI NYINGI ODDS KIBAO


Meridianbet mabingwa wa odds kubwa , ofa, promosheni kibao wanakuja na mkeka wa timu ambazo zinacheza wikiendi hii, ukizibetia unaweza kujikuta Tajiri na mfalme mpya wa kubashiri soka.

Wikiendi hii soka la ulaya litatimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali, ligi pendwa kama EPL, Serie A, La Liga, Ligue 1 na Bundasliga zitakuwa na odds kubwa chaguo ni lako tu unaenda na nani kwenye jamvi lako la Meridianbet.

Siku ya Jumamosi kutanoga sana, nogesha mkeka wako kwa timu hizi zenye odds kubwa, akiwa na odds kubwa ya 5.68 Bournamouth amepewa kuifunga United huku sare kwenye mchezo huu ina 4.60, pale Anfield Majogoo wa Liverpool wao watakipiga na Aston Villa katika kuwania zile nafasi nne za juu ya msimamo wa EPL.

Wakati yote hayo yanaendelea huenda vijana wa Mikel Arteta bado wana ndoto za kufukuzia ubingwa wa EPL huku wakiwa na uhakika Zaidi wa kucheza UCL msimu ujao, watacheza na wanamisitu Nottingham Forest.

Unaweza kukamilisha jamvi lako la Meridianbet kwa mechi hii kali pale kwenye dimba la Etihad Man City atawaalika Chelsea ambao msimu huu hawajapata matokeo ya ushindi mbele ya Pep. Odds kubwa za ushindi ziko hivi Chelsea ashinde ana 10.78, sare ina 6.46 chaguo ni lako unaenda na City au Chelsea?

Kwingineko Ulaya kuna mechi kalii kati ya Bayern Munich vs RB Leipzig kwenye mechi 5 za mwisho walizokutana Bayern ameshinda mara 4, sare ni moja unaenda na nani, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi 1.50 huku RB akipewa odds kubwa ya 5.29. Borussia Dortmund vs Augsburg hapa kuna vita ya kuisaka nafasi ya kwanza. Kati ya Bayern na Dortmund kwenye Bundasliga.

PSG atakuwa ugenini dhidi ya AJ Auxerre ikumbukwe Lionel Messi amerejea kikosini baada ya kusimamishwa kwa muda, Lille vs Olympique Marseille mechi zote za Ligue 1 zina odds kubwa wikiendi hii, cheza mubashara au kupitia duka la ubashiri na usubiri matokeo baada ya mechi kumalizika.

Post a Comment

0 Comments