Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busanda, Tumaini Magesa . bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson Rweikiza, bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments