Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET KUMWAGA MINOTI WIKIENDIWikiendi ya kibabe ukweli kujulikana Jumapili nani anashukana nani atasalia kwenye ligi, utamu unabaki kwako kuwekajamvi lako lenye odds kubwa ambapo ligi mbalimbalizinaendelea tena. Pia unaweza kucheza kasino ya mtandaonikwa ushindi mkubwa Zaidi na rahisi.

Utamu wa mechi hizi sio mbio za ubingwa tena, ni vita ya kushukadaraja na kugombea nafasi za kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, Europa League na Conference League. Utamu umeongezwa naMeridianbet kwa kuzipa timu nyingi odds kubwa, kazi inabakikwako tu kubashiri soka, kubashiri mubashara au kama sio mpenziwa soka unaweza kucheza sloti na kasino ya mtandaoni.

EPL KUKOJE? Moto wa EPL unaziangazia timu tatu za chini niLeicester City, Leeds na Southampton ambao wote wapo nafasimbaya Zaidi ya kushuka huku TOP 4 tayari ishajulikana. Ratiba yawikiendi hii iko kama hivi: mechi ni 10 na ratiba itafungwa kwaSouthampton vs Liverpool, Chelsea vs Newcastle, Brentford vs City, Arsenal vs Wolves, Leeds vs Spurs, United vs Fulham, Leicester City vs West Ham.

KWINGINEKO JE? Ligi nyingine pia zimebakiza michezo miwilikutamatika, Laliga, Serie A, Ligue 1 na Bundasliga ni miongonimwa Ligi zinazofuatiliwa sana duniani na pendwa sana kwa watuwanao bashiri soka kwa sababu wikiendi hii kuna odds kubwa kwamechi zote.

Serie A odds kubwa kwenye mechi zote kubwa Zaidi ni Inter atakipiga na Atalanta, Juventus aliyekatwa pointi 10 atakichafua naAC Milan, Bologna vs Napoli, Fiorentina vs AS Roma odds kubwamechi hii ni 2.13 vs 3.43 sare ina 3.33 unaanzaje kuziacha oddshizi. Bashiri na Meridianbet.

Vinara wa Bundasliga Dortmund watashuka dimbani dhidi yaMainz kutafuta alama 3 zitakazo wafanya kuendelea kukaa kileleni, Mainz amepewa odds kubwa ya 12.74 ashinde huku sare ni 8.62, Bayern Munich atacheza na Cologne.

La Liga kumenoga sana ni Real Madrid atakuwa ugenini kucheza naSevilla Meridianbet wametoa odds kubwa 2.84 kwa 2.39 ushindikwa kila mmoja, Atletico Madrid vs Real Sociedad, FC Barca vs Mallorca. Pata odds kubwa machaguo mengi au cheza kasino yamtandaoni upate bonasi na promosheni kibao ambapo kama ni mtejampya ukijisajili unazawadiwa mizunguko mingi ya bure kuchezakasino ya mtandaoni.

Post a Comment

0 Comments