Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS .DKT. MWINYI ATEMBELEA MALI ZA CCM KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA UNGUJA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kwani Zanzibar wakati wa ziara yake kukagua Mali za CCM katika maeneo mbalimbali ya Unguja leo 7-5-2023, akiwa katika eneo la Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya michoro ya Jengo la Uwekezaji la Chama Cha Mapinduzi katika eneo la Kijangwani katika nyumba ilikozaliwa Chama cha Shirazi Association, wakati Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Fedha na Uchumi Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa, akiwa katika ziara yake kukagua Mali za CCM na kuimarisha Chama .(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelia Mali za Cha Cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo mbali mbali ya Unguja leo 7-5-2023 na kuimarisha Chama, akitembelea eneo la CCM Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika ziara yake kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali ya Unguja yamo katika uwekezaji CCM Maisara Wilaya ya Mjini Unguja , akizungumza na Meneja wa Hoteli ya Maisara Delux Lodge Ndg. Rumanyika Felician, wakati wa ziara yake leo 7-5-2023. na (kulia kwa Rais) Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Uchumi na Fedha Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali, Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Uenezi na Itikadi Zanzibar Ndg Khamis Mbeto Khamis na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments