Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AONDOKA NCHINI LEO AKIELEKEA NCHINI QATAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utrumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akielekea Nchini Qatar, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi linalofanyika Doha Nchini Qatar, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments