Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI,IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.

Post a Comment

0 Comments