Ticker

6/recent/ticker-posts

SLOTI YA ZOMBIE APOCALYPSE USHINDI NI RAHISISloti ya Zombie Apocalypse

Tambua kwamba Meridianbet Kasino ya Mtandaoni Inakujali Zaidi wewe mteja kila siku, kwa ofa, bonasi na promosheni kibao ili kuhakikisha unaenjoy sana. Sloti ya Zombie Apocalypse inakuja na mizunguko ya bure, Jackpot na ushindi mkubwa kwa mara moja.

Hatua za Ushindi.

Mchezo huu una mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya Bonasi. Kwenye mstari wa ushindi ni ushindi mkubwa pekee unaolipwa. Pori hubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya Bonasi.

Dau la chini kuanzia Tsh 10 sawa na 1.00 PTS.

Jinsi ya Kucheza Sloti hii ya Kasino ya Mtandaoni

Ili kushinda Zaidi kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, bonyeza kitufe cha kubashiri na ujaribu kukisia kama kadi/karata inayofuata ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako utaongezwa mara mbili Zaidi na kama utakosea basi ushindi wako utafutwa.

Sloti ya Zombie Apocalypse inakupa nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale tu unapoanza kucheza, mizunguko hii inaipata kwenye namba hizi 9,10,11,12,13,14 au 15. Kila alama ya Wild inayoonekana kwenye mzunguko ina nyongeza mara 2 au 3.

Kasino hii ya Mtandaoni ina Jackpot za aina 3 tofauti za Jackpot ambayo mchezaji anaweza kutarajia ushindi. Mchezaji anapobofya spin, asilimia kadhaa ya hisa zake huingia kwenye sehemu ya jackpot. Jackpot inayoendelea inakua, inakuwa kubwa zaidi na zaidi, hadi mchezaji mmoja atashinda. Zawadi ya jackpot huhamishiwa moja kwa moja kwenda akaunti ya pesa ya mchezaji.

Post a Comment

0 Comments