MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Uchumi na Fedha CCM Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali (kushoto kwa Rais) akiwa katika ziara yake kukagua Mali za CCM katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-6-2023.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akiwa katika ziara yake ya Kichama kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-6-2023, (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Iddi Ali Ame na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa, akitembelea miradi ya CCM Nungwi (Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Mradi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa Ndg. Ramadhan Hassan Kapeto, wakati akitembelea mradi wa Kituo cha mafuta mahonda akiwa katika ziara yake kukagua Mali za CCM katika mkoa huo na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Said Mohammed Dimwa na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea na kukagua Mali za CCM katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo leo 11-6-2023 na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Said Mohammed Dimwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Mohammed Aboud Mohammed.(Picha na Ikulu)
0 Comments