Ticker

6/recent/ticker-posts

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AZUNGUMZA NA BI.HANSY HO NA KUHUDHURIA MKUTANO WA WOMEN POWER FORUM HONG KONG

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa Wanawake “Women Power Forum” uliyofanyika leo 30-6-2023 katika ukumbi wa jengo la Palace Academy Hong Kong.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kutoka kushoto wa tano) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa “Organising Committee” wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa mkutano huo “Women Power Forum” uliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa jengo la Palace Academy Hong Kong leo 30-6-2023.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mwenyekiji wake Chairperson Hong Kong Federation of Women. Bi.Pansy Ho, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi mdogo wa jengo la Palace Academy Hong Kong, kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano wa “Women Power Forum” uliyofanyika katika ukumbi wa jengo hilo leo 30-6-2023.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na “Chairperson Hong Kong Federation of Women” Bi.Pansy Ho, alipowasili katika ukumbi wa jengo la Palace Academy Hong Kong , kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa Wanawake “Women Power Forum” uliyofanyika katika ukumbi wa jengo hilo leo 30-6-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments