Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA AFYA LILAMBO - RUVUMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza muuguzi wa Kituo cha Afya Lilambo Bi. Lightness Masasa kuhusu huduma zinazotolewa wakati wa kumpokea mgonjwa anayefika kituoni hapo wakati wa uzinduzi wa kituo cha Afya Lilambo kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 21 Julai 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipamba mti aina ya mparachichi katika eneo la Kituo cha Afya Lilambo wakati wa uzinduzi wa kituo hicho kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 21 Julai 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Afya Lilambo kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 21 Julai 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi mbalimbali wa kata ya Lilambo wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Afya Lilambo kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 21 Julai 2023.

Post a Comment

0 Comments