Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA INDIA NA KUSHUHUDIA UTIAJI WA SAINI YA UFUNGUZI WA CHUO KIKUU CHA INDIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini ya uazishwaji kwa Tawi la Chuo Kikuu cha Teknologia cha India (IIT) Kampasi ya Zanzibar, akisaini kwa upande wa Serikali ya India Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Pradhan (kulia kwa Rais) na kwa upande wa Serikali wa Mapinduzi Zanzibar amesaini Kaimu Katibu Mkuu wa Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar,Mkurugenzi Mipango,Sera na Utafiti (WEMA)Ndg.Khalid Masoud Waziri.(kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya utiaji wa saini iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. 5-7-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Mhe. Subrahmanyam Jaishankar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. 5-7-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahamanyam Jaishankar akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,5-7-2023. (kulia kwake) Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Banaya Srikanta Pradhan.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahamanyam Jaishankar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, 5-7-2023, kabla ya kuaza kwa hafla ya utiaji wa saini ya uazishwaji wa Tawi la Chuo Kikuu cha Teknologia cha “India Institutes of Technology (IIT)” hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar, mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahamanyam Jaishankar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, 5-7-2023, kabla ya kuaza kwa hafla ya utiaji wa saini ya uazishwaji wa Tawi la Chuo Kikuu cha Teknologia cha “India Institutes of Technology (IIT)” hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha maalum ya mandhari ya Mji wa Zanzibar, mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahamanyam Jaishankar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, 5-7-2023, kabla ya kuaza kwa hafla ya utiaji wa saini ya uazishwaji wa Tawi la Chuo Kikuu cha Teknologia cha “India Institutes of Technology (IIT)” hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahamanyam Jaishankar, baada ya kumalizika mazungumzo yao na hafla ya utiaji wa saini iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 5-7-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments