Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA VNA UJUMBE WA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka China wa Kampuni ya “China Railway Construction Investment Group” ukiongozwa na Meneja Muendeshaji Bw.Haoping Dong (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Meneja Muendeshaji wa Kampuni ya “China Railway Construction Investment Group” Bw. Haoping Dong (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments