Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA JUKWAA LA DEMOKRASIA AFRIKA, JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wastaafu kutoka Afrika mara baada ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi Wakuu mbalimbali Barani Afrika mara baada ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.Wa pili kutoka (kushoto) ni Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Ernest Bai Koroma Rais Mstaafu wa Sierra Leone pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn wa pili kutoka kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Viongozi Wastaafu kutoka Ndani na Nje ya Nchi mara baada ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Dkt. Benson Bagonza mara baada ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika katika hoteli ya Gran Meliá Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kutoka Ndani na Nje ya Nchi kabla ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Sierra Leone Mhe. Ernest Bai Koroma (kushoto) pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Sierra Leone Mhe. Ernest Bai Koroma mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Viongozi mbalimbali kutoka Ndani na Nje ya Nchi wakiwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023

Post a Comment

0 Comments