Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax wa tatu kutoka kulia akiwa pamoja na ujumbe wa Tanzania

Post a Comment

0 Comments