Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA 8 LA WAHANDISI WANAWAKE TANZANIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la 8 la Wahandisi Wanawake Tanzania linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu)
WAGENI Waalikwa katika ufunguzi wa Kongamano la 8 la Wahandisi Wanawake Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu)

WASAHIRIKI wa Kongamano la 8 la Wahandisi Wanawake Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments