Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA TANZANIA TIRA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ukiongozwa na Kamishna wa TIRA Dr. Baghayo Saqware (kushoto kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 4-9-2023 na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi pia ni Balozi wa Bima Mhandisi Zena Ahmed Said na Mbunge wa Bunge la Tanzania pia ni Balozi wa Bima Mhe. Wanu Hafidh Ameir.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA ) ukiongozwa na Kamishna Dr.Baghayo Saqware (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya utendaji wa kazi wa (TIRA) wakati wa wazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-9-2023, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Balozi wa Bima Tanzania Mhe. Mbunge Wanu Hafidh Ameir.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi wa Bima Tanzania Mbunge wa Bunge la Tanzania Mhe.Wanu Hafidh Ameir, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-9-2023 na (kulia kwa Rais) Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dr. Baghayo Saqware.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments