Ticker

6/recent/ticker-posts

USIYOYAJUA KUHUSU ORAIMO FREEPODS LITE

Tarehe 9 Agosti 2023 ndio siku ambayo earbuds mpya kutoka oraimo ambazo zinaitwa “FreePods Lite” ziliingia sokoni rasmi. Kampuni ya oraimo imejibebea umaarufu sana kwa kutengeneza vifaa vya kielektroniki vyenye ubora wa hali ya juu, na safari hii imeleta bidhaa hii mpya yenye sifa kemkem na ikiwa na bei ya chini sana.

oraimo FreePods Lite zinasifika kwa kutunza chaji kwa muda mrefu zaidi. Earbuds hizi zina uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa arobaini. Hii inakusaidia wewe mtumiaji wake kuwa huru muda wote bila kuhofia earbuds zako kukata moto.Licha ya kuwa na uwezo wa kutunza chaji hadi saa arobaini, oraimo FreePods Lite endapo zitachajiwa kwa takribani dakika kumi tu basi zina uwezo wa kukaa na chaji hadi dakika 120 ukiwa unazitumia.

Pia, oraimo FreePods Lite zina uwezo mkubwa wa kukufanya wewe mtumiaji wake usikie mikito yote ya ngoma yako pendwa, hii ni kwasababu earbuds hizi zimetengenezwa na HavyBass algorithm ambayo inakupa clear high frequency and deep, rich bass.


Vilevile, Kupitia teknolojia ya 2-mic ENC, oraimo FreePods Lite inaweza kutambua na kuchuja kelele pale unapopiga au kupigiwa simu, hivyo kumuwezesha mtu unayezungumza nae upande wa pili kukusikia kwa ufasaha zaidi.
Mbali na hayo bidhaa hii ya oraimo ni rafiki na maji kwani ni waterproof na unaweza itumia bila kushika simu yako kwani unaweza kuplay au kustop wimbo kwa kugusa earbuds zako.

oraimo FreePods Lite zinapatikana katika maduka yote ya oraimo au unaweza tembelea website yao tz.oraimo.com.

oraimo ina bidhaa ambazo zinapatikana zaidi ya nchi 60 na ina watumiaji zaidi ya milioni mia mbili (200 million+ users). Pia kampuni hii imepokea tuzo mbalimbali ikiwemo “Best Mobile Accessories Marketing Company Of The Year”

Post a Comment

0 Comments