Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MIEMBENI KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya kujumuika na Wananchi wa Miembeni kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 13-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 13-10-2023, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Imamu wa Msikiti wa Miembeni Sheikh. Fahim Hafidh.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa,iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 13-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 13-10-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments