Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA KAMISHNA MSTAAFU STEPHEN ZELOTHE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Kamishna Mstaafu Zelothe Stephen Zelothe Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Flora Zelothe Mjane wa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Kamishna Mstaafu Marehemu Zelothe Stephen Zelothe wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza la Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Kamishna Mstaafu Marehemu Zelothe Stephen Zelothe wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023

Post a Comment

0 Comments