Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWASILI SAGARA KATIKA JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Sagara mara baada ya kuwasili Mkoani Singida kwa ajili ya ziara ya kikazi tarehe 15 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments