Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATESH MKOANI MANYARA WAKATI AKIELEKEA MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa Katesh mara baada ya kuwasili eneo hilo Mkoani Manyara tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Katesh Mkoani Manyara wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katesh Mkoani Manyara tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Katesh Mkoani Manyara kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi tarehe 15 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katesh Mkoani Manyara tarehe 15 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments