Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA IGUNGA MKOANI TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika uwanja wa Barafu Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Shamrashamra wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika uwanja wa Barafu Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwashukuru Wananchi wa Ziba mara baada ya kuzungumza nao wakati akielekea Nzega Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Sehemu ya Wananchi wa Igunga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Barafu Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wananchi wa Ziba wakati akielekea Nzega Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments