RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutoa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Abubakar Abdallah Othman, alipofika nyumbani kwa marehemu Sebleni Muembeboso Wilaya ya Mjini Unguja, marehemu amefariki akiwa katika jitihada za kusaidia kuzibua mtaro ya maji ya mvua katika eneo la sebleni.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Marehemu Abubakar Abdallah Othman kuitikia dua ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume, alipofika nyumbani kwa marehemu kutoa mkono wa pole kwa Familia Sebleni Muembeboso Wilaya ya Mjini Unguja, marehemu amefariki akiwa katika jitihada za kusaidia kuzibua mtaro ya maji ya mvua katika eneo la sebleni.(Picha na Ikulu)
0 Comments