Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA ROMANIA NA KUMUANDALIA DHIFA MAALUM VIWANJA VYA IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, alipowasili Ikulu Jijini Zanzibarb kwa mazungumzo na kuandaliwa dhifa maalum iliyofanyika katika viwanja vya Zanzibar ,akiwa katika ziara yake ya Siku moja Zanzibar leo 18-11-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, na kujumuika katika dhifa maalum aliyomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu leo 18-11-2023, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wageni wake (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Romania Mama Carmen Iohannis na Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis, baada ya kumaliza mazungumzo yao na Dhifa maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara yake ya Siku moja Zanzibar leo 18-11-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-11-2023, wakati wa dhifa maalum aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Romania Mhe.Klaus Iohannis akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya dhifa Maalum aliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika leo 18-11-2023, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.(Picha na Ikulu)
MABALOZI Wadogo wanaofanyia Kazi zao Zanzibar wakihudhuria katika dhifa maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar , wakati wa ziara ya siku moja ya Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis Zanzibar, iliyofanyika leo 18-11-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments