Ticker

6/recent/ticker-posts

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAPOKEA TAARIFA YA WIZARA YA UJENZI KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA BUNGE YALIYOTOKANA NA TAARIFA YA KAMATI KWA MWAKA 2022.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, akifafanua jambo baada ya kuwasilisha Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe 17 Januari, 2024.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, akitoa ufafanuzi wa hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele ya Kamati hiyo Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe 17 Januari, 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya.
Baadhi ya wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake wakisikiliza Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe 17 Januari, 2024.
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta akijibu hoja za wajumbe baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe 17 Januari, 2024.

PICHA NA WU

Post a Comment

0 Comments