Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUONGOZA KAMPENI YA KUPANDA MITI KATIKA ENEO LA DONGE MUWANDA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Muembe Pembeni (Mangifera indica) katika eneo la Donge Muwanda, Zanzibar wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Upandaji miti ulifanyika katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Kijana Sabrina Said Soud kutoka Green Samia wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Kijana George Joshua kutoka Green Samia wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Sheha wa Shehia ya Donge Muwanda, Abdallah Hambali wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimlisha keki Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa Daraja la kwanza Asha Ahmed Hamid ambaye pia amezaliwa tarehe kama ya leo wakati akiadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Hafla hiyo ilifanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya simu na Wananchi wa Njombe ambao pia walimuunga mkono katika Kampeni yao ya lishe bora na Elimu kwa umma tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman mara baada ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Mhe. Eng. Zena Said, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki, viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Vijana wa Green Samia mara baada ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Mhe. Eng. Zena Said, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki, viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mara baada ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Mhe. Eng. Zena Said, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo,Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki, viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Baraza la Taifa la uwezeshaji Wananchi Kiuchumi mara baada ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanyiwa mahojiano na watangazaji Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Anuary Mkama pamoja na Zaituni Khamis katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar tarehe 27 Januari, 2024.

Post a Comment

0 Comments